Wasiliana Nasi

Maswali yako yote yatajibiwa. Wasiliana nasi sasa.

Ofizi Zetu

Ofisi zetu zinapatikana Dar es Salaam na Mwanza. Kwa Dar es Salaam, tunapatikana Kariakoo mtaa wa Swala na Nyamwezi.

Bofya Hapa Kuja Tulipo: Swala na Nyamwezi

Follow Us

Shiriki nasi kwenye mitandao ya kijamii.

0755395787

Dar es Salaam

0742256867

Mwanza

0679338840

Dodoma

Maswali Yaulizwayo

Inachukua muda gani mzigo wangu kuwasili?

Kwa wateja wa mikoa ya Shunyanga na Mwanza, tegemea kupokea mzigo wako ndani ya siku zisizozidi tatu. Kwa wateja wa Dodoma unaweza kupokea mzigo wako ndani ya siku moja hadi mbili. Ikitokea uchelewashwaji tutakutaarifu sababu za kuchelewa mzigo wako.

Inakuwaje endapo mzigo wangu utaharibika?.

Huwa tunaweka uangalifu mkubwa katika uapakiaji mizigo ili kuepuka kutokea kwa uharibifu kama kuvunjika kwa bidhaa. Lakini ikitokea mzigo umeharibika basi tutawajibika sisi.

Utaratibu Wetu

Tunachukua Mzigo Wako Popote Ulipo

Tunachuku mzigo wako na kuuleta ofisini kwetu kutoka ulipo. Iwe ni Kariakoo, Bandarini au popote pale Dar es Salaam

Tunajaza Taarifa Muhimu

Tunajaza taarifa zote muhimu kuhusu mzigo wako na kuuhifadhi mahali sala kusubiri kupakiwa.

R

Safari Inaanza

Mara baada ya taratibu za kupakia na mambo mengine ya clearance mzigo wako utakuwa njiani kuja kwako.